AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT TINCTUREMAELEZO KIDNEY AND BLADDER SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya figo na kibofu cha mkojo kwa kuimarisha mfumo wa asili wa uondoaji taka wa mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, balance ya vimiminika na usafi wa terrain ya mwili huchangia ustawi wa viungo vya uondoaji na vitality ya mwili kwa ujumla. INGREDIENTS Chimaphila umbellata Tincture Arctostaphylos uva-ursi Tincture FAIDA • Husaidia afya ya figo na kibofu cha mkojo kwa ujumla. • Huchangia balance ya vimiminika ndani ya mwili. • Husaidia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili. • Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili. • Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla. JINSI INAVYOFANYA KAZI Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya figo na kibofu cha mkojo inategemea sana terrain safi na mtiririko sahihi wa vimiminika vya mwili. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya vimiminika vya mwili, jambo linalosaidia kuimarisha mazingira ya seli na viungo vya uondoaji. Kwa kusaidia mfumo wa endocrine, huimarisha balance ya mwili, huku pia hu-support nervous system kwa kudumisha ustawi na utulivu wa ndani wa mwili. NAMNA YA KUTUMIA Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu. WANAOFAA KUTUMIA Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya figo na kibofu cha mkojo, wanaotaka ku-support balance ya vimiminika vya mwili, au wanaotafuta kudumisha vitality na usafi wa mfumo wa uondoaji wa mwili. TAHADHARI • Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa. • Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
50 in stock
TSh 75,000
View product