AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
Kidney Support Formula ni mchanganyiko wa mimea ya asili unaolenga kusaidia afya na ustawi wa mfumo wa figo kwa mtazamo wa Terrain Philosophy ya Dr. Mittoh. Mfumo huu huchangia usawa wa maji na elektrolaiti mwilini, pamoja na kusaidia mazingira ya ndani ya mwili yanayohusiana na uchujaji wa taka. Pia huimarisha mwitikio wa asili wa mwili katika kudumisha usafi wa ndani na uimara wa mifumo ya excretory.
INGREDIENTS
Urtica dioica
Berberis vulgaris
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa figo na usawa wa maji mwilini
• Huchangia usafishaji wa asili wa mwili kupitia mifumo ya excretory
• Husaidia usawa wa elektrolaiti muhimu kwa utendaji wa mwili
• Huchangia uimara wa mzunguko wa damu unaohusiana na figo
• Husaidia ustawi wa jumla wa mazingira ya ndani ya mwili
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mwili hutegemea terrain iliyo safi na yenye usawa ili kuhakikisha mifumo ya uchujaji na usafishaji inafanya kazi kwa ufanisi. Kidney Support Formula husaidia kusawazisha mzunguko wa maji ya mwili na kusaidia mfumo wa lymphatic na circulation katika kuondoa taka za kimetaboliki. Huchangia pia usawa wa endocrine unaosaidia udhibiti wa maji na elektrolaiti mwilini. Kwa pamoja, huimarisha terrain ya ndani ya mwili ili kusaidia uhai na ustawi wa mfumo wa excretory kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye changamoto za usawa wa maji mwilini na wanaotaka kusaidia afya ya figo na mfumo wa usafishaji wa mwili kwa njia ya asili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock