AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
KIDNEY AND BLADDER SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya figo na kibofu cha mkojo kama sehemu muhimu za mfumo wa asili wa uondoaji taka wa mwili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, utendaji bora wa viungo hivi huchangia mazingira safi ya ndani ya mwili, balance ya vimiminika na vitality ya mwili kwa ujumla.
INGREDIENTS
Chimaphila umbellata
Arctostaphylos uva-ursi
FAIDA
• Husaidia afya ya figo na kibofu cha mkojo kwa ujumla.
• Huchangia balance ya vimiminika ndani ya mwili.
• Husaidia mchakato wa asili wa detoxification ya mwili.
• Huchangia usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
• Husaidia vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya figo na kibofu cha mkojo ni sehemu muhimu ya terrain safi na yenye uwiano mzuri. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic kwa kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu mbalimbali na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia circulation ya vimiminika vya mwili na kudumisha mazingira bora ya ndani yanayohitajika kwa utendaji wa seli. Kwa kusaidia afya ya mfumo wa uondoaji taka, formula hii hu-support endocrine system kwa kudumisha balance ya mwili. Aidha, hu-support nervous system kwa kusaidia mwili kudumisha ustawi wa ndani unaochangia vitality na hali njema ya kila siku.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya figo na kibofu cha mkojo, wanaotaka ku-support mchakato wa asili wa detoxification, au wanaotafuta kudumisha balance ya vimiminika na vitality ya mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Kunywa maji ya kutosha wakati wa matumizi.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
AFYA YA FIGO NA NJIA YA MKOJO (KIDNEY & URINARY HEALTH)
KIDNEY & BLADDER SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock