KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
RESPIRATORY SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya na ustawi wa mfumo wa upumuaji kwa njia ya asili. Kwa mujibu wa falsafa ya Dr. Mittoh, mazingira safi ya ndani ya mwili na mtiririko mzuri wa vimiminika vya mwili huchangia utendaji bora wa tishu na mifumo mbalimbali ikiwemo mfumo wa upumuaji.
INGREDIENTS
Lobelia inflata Tincture
Grindelia squarrosa Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa upumuaji kwa ujumla.
• Huchangia mtiririko mzuri wa hewa ndani ya njia za upumuaji.
• Husaidia kuimarisha usafi wa mazingira ya ndani ya mwili.
• Huchangia vitality na ustawi wa mwili wakati wa shughuli za kila siku.
• Husaidia ku-support mzunguko mzuri wa vimiminika vya mwili.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya ya mfumo wa upumuaji huathiriwa na hali ya mazingira ya ndani ya mwili pamoja na uwezo wa mwili kuondoa taka kwa ufanisi. Formula hii hu-support mfumo wa lymphatic ili kusaidia usafirishaji wa taka kutoka kwenye tishu mbalimbali na kuchangia detoxification ya asili. Pia husaidia mzunguko mzuri wa vimiminika vya mwili, jambo linalounga mkono mazingira bora ya utendaji wa mfumo wa endocrine na nervous system. Kupitia kuimarisha terrain ya mwili, formula hii huchangia ustawi wa mfumo wa upumuaji na vitality ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa upumuaji, wanaotaka ku-support detoxification ya asili ya mwili, au wanaotafuta kudumisha vitality na ustawi wa mwili kwa ujumla.
TAHADHARI
• Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
• Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG & BRONCHIAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock