KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
IMMUNE SUPPORT FORMULA ni mchanganyiko wa mimea ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa kinga kwa kuimarisha mazingira bora ya mwili (terrain) yanayohitajika kwa vitality na ustawi wa jumla. Mfumo huu husaidia mwili kudumisha uwezo wake wa asili wa kujilinda huku ukichangia usawa wa mifumo mbalimbali inayohusika na afya ya kinga.
INGREDIENTS
Astragalus membranaceus
Uncaria tomentosa
FAIDA
• Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa kinga wa mwili
• Huchangia vitality na uimara wa mwili kwa ujumla
• Husaidia mwili kukabiliana na changamoto za kila siku za mazingira
• Huchangia usawa wa mifumo muhimu inayosaidia kinga ya mwili
• Husaidia kudumisha afya bora ya mwili na ustawi wa muda mrefu
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, afya bora ya kinga huanza kwa kuboresha terrain ya mwili na kuhakikisha mifumo yake inafanya kazi kwa maelewano. Mfumo huu husaidia ku-support mzunguko mzuri wa virutubisho na taka za mwili kupitia circulation bora na afya ya lymphatic system. Pia huchangia detoxification ya asili kwa kusaidia mwili kuondoa mzigo usiohitajika unaoweza kuathiri vitality. Zaidi ya hayo, hu-support mawasiliano mazuri kati ya mfumo wa endocrine na nervous system, jambo linalochangia usawa wa mwili na uwezo wake wa kudumisha afya ya kinga kwa njia ya asili.
NAMNA YA KUTUMIA
Vidonge 2–4 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hamu ya kuimarisha afya ya mfumo wa kinga, wanaotaka kusaidia vitality ya mwili, wanaokabiliwa na uchovu wa mara kwa mara wa maisha ya kila siku, au wanaotafuta msaada wa asili wa kudumisha ustawi wa mwili kwa ujumla wanaweza kufaidika na formula hii.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG & BRONCHIAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
SINUS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock