KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
Price
TSh 75,000
50 units available
Quantity
Delivery and support are confirmed after checkout.
Share product
Product details
MAELEZO
IMMUNE SUPPORT TINCTURE ni mchanganyiko wa mitishamba ulioundwa kusaidia afya ya mfumo wa kinga na ustawi wa mwili kwa ujumla. Kwa mujibu wa falsafa ya Terrain ya Dr. Mittoh, mfumo wa kinga hufanya kazi vizuri zaidi pale ambapo mazingira ya ndani ya mwili ni safi, yenye uwiano mzuri wa majimaji na mzunguko bora wa virutubisho.
INGREDIENTS
Astragalus membranaceus Tincture
Baptisia tinctoria Tincture
FAIDA
• Husaidia afya ya mfumo wa kinga ya mwili.
• Huchangia vitality na ustahimilivu wa mwili katika shughuli za kila siku.
• Husaidia kuimarisha mazingira bora ya ndani yanayounga mkono mfumo wa kinga.
• Huchangia usafirishaji mzuri wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali za mwili.
• Husaidia kudumisha uwiano wa mifumo muhimu ya mwili kwa ujumla.
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Kwa mtazamo wa Dr. Mittoh, mfumo wa kinga huathiriwa moja kwa moja na ubora wa terrain ya mwili. IMMUNE SUPPORT TINCTURE huchangia ku-support mfumo wa lymphatic ambao ni muhimu katika ukusanyaji na uondoaji wa taka za mwili. Mzunguko mzuri wa damu huwezesha usafirishaji wa virutubisho kwenye tishu mbalimbali zinazounga mkono vitality ya mwili. Detoxification ya asili husaidia kudumisha mazingira safi ya ndani yanayoruhusu mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Pia, uwiano wa mfumo wa endocrine na mfumo wa neva huchangia mawasiliano bora ya mwili, jambo linalosaidia ustawi wa mfumo wa kinga na afya ya mwili kwa ujumla.
NAMNA YA KUTUMIA
Matone 10–20 ndani ya maji au juice, mara 2–3 kwa siku au kama utakavyoelekezwa na mtaalamu.
WANAOFAA KUTUMIA
Watu wenye hitaji la kusaidia afya ya mfumo wa kinga, wanaotaka kuimarisha vitality ya mwili, au wanaolenga kudumisha ustawi wa mwili kupitia mazingira bora ya ndani ya mwili.
TAHADHARI
Tumia kwa kiwango kilichoshauriwa.
Wanaotumia dawa watumie kwa ushauri wa kitaalamu.
Delivery details are confirmed after checkout. Contact support for help with returns or order changes.
No extra product media has been added yet.
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
IMMUNE SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG & BRONCHIAL SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
LUNG SUPPORT TINCTURETSh 75,000
In stock
KINGA YA MWILI NA AFYA YA MFUMO WA UPUMUAJI (IMMUNE, RESPIRATORY & SEASONAL WELLNESS)
SINUS SUPPORT FORMULATSh 75,000
In stock